Toeni
Pepo
Toeni pepo ni ufunguo wa ushindi dhidi ya shetani na nguvu zote za kuzimu. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kukabaliana na pepo wachafu na kupata ushindi.
Bishop Rodrick Mbwambo
Ibada inayobadilisha
Maisha
Hiki ni kitabu cha 22. Elewa sifa za msingi zitakazokusaidia kugundua ibada yenye uwezo wa kubadilisha maisha yako katika kizazi tulichonancho.
Bishop Rodrick Mbwambo
Nguvu ya Damu
ya Yesu
Askofu Rodrick Mbwambo anaeleza kwa undani upekee na faida lukuki za damu ya Yesu, zikiwamo ukombozi, uponyaji na ulinzi kwa mtu aliyeokoka.
Bishop Rodrick Mbwambo
Kuyafikia Makundi
Yaliyosahaulika
Utume Mkuu ni kiini cha kitabu hiki kinachofunua ukweli kwamba bado kuna makundi ya watu 7000 ambao hayajafikiwa na Injili kikamilifu duniani!
Bishop Rodrick Mbwambo
Kuinuliwa kama
Ibrahimu
Maisha ya Ibrahimu baada ya kuitwa na Mungu, yanatoa taswira ya mafanikio ya kiafya, kiroho, kimwili na kiuchumi ambayo mwamini anatakiwa kuwa nayo.
Bishop Rodrick Mbwambo
Kujiandaa
Kwa Taji
Safari ya wokovu ni kama mashindano ya mbio za riadha. Baada ya kuokoka tumeingia kwenye mashindano. Jiandae kupokea taji yako kupitia kitabu hiki.
Bishop Rodrick Mbwambo
Kushinda
Milango ya Kuzimu
Yesu alimwambia Petro kwamba milango ya kuzimu haitalishinda kanisa. Kitabu hiki kitakupa maarifa ya kuzishinda nguvu zote za giza katika ulimwengu wa roho.
Bishop Rodrick Mbwambo