Bishop Rodrick Mbwambo
Mwongozo na Mafundisho ya Vikundi vya Makanisa ya Nyumbani (Cell Groups) kwa ajili ya Viongozi na Walimu wa Vikundi. Makanisa ya nyumbani ni ya Kibiblia.
Bishop Rodrick Mbwambo
Safari ya wokovu ni kama mashindano ya mbio za riadha. Baada ya kuokoka tumeingia kwenye mashindano. Jiandae kupokea taji yako kupitia kitabu hiki.
Bishop Rodrick Mbwambo
Pamfleti hii imebeba mafundisho na maandiko ya msingi yanayothibitisha uwepo wa Yesu Kristo kama anavyofuniliwa kuanzia Agano la Kale hadi Agano Jipya.